VAGINITIS NI NINI

๐Ÿ“Œ Ni Maambukizi na Uvimbe kwenye uke Unaosabaishwa na matatizo mbalimbali
๐Ÿ“Œ Huwapata hasa Wanawake walio kwenye Hatua za mwanzo na kukomaa hedhi (premenopause vaginitis)
๐Ÿ“Œ Kuna aina nyingi za Maambukizi lakini hizi 3 ni za kawaida Kwa wengi.
โœ… Vulvovaginal candidiasis ( Maambukizi ya fungasi)
โœ… Bacteria vaginosis (kukua kusiko kawaida kwa bacteria wazuri)
โœ… Trichomoniasis (Maambukizi ya magonjwa ya zinaa).

VULVOVAGINAL CANDIDIASIS

Sababu (Causes) Husababishwa na Maambukizi ya Fangasi (yeast infection)
๐Ÿ“Œ Vihatarishi (RISK FACTORS)
โœ… Kisukari (diabetes)
โœ… Matumizi ya antibiotics au steroids.
๐Ÿ“Œ Dalili za Vulvovaginal ( symptoms) candidiasis
โœ… Uke Kuchubuka (irritation)
โœ… Miwasho (itching)
โœ… Uke kutoa Uchafu mweupe (white vaginalย discharge)

BACTERIAL VAGINOSIS

๐Ÿ“Œ Sababu (Causes)
โœ… Kukua kusiko kawaida kwa bacteria wazuri (overgrowth of normal bacteria)
๐Ÿ“Œ Vihatarishi (risk factors)
โœ… Tendo la kujamiiana (sexual activity)
โœ… Kusagana (female sex partner)
โœ… Kupiga bomba ( Douching )
๐Ÿ“Œ Dalili za bacterial vaginosis (SYMPTOMS)
โœ… Maji meupe (white vaginal discharge)
โœ… Harufu mbayaย (ย fishย odour)

TRICHOMONIASIS

(Maambukizi ya STI)
๐Ÿ“Œ SABABU
โœ… Wapenzi wengi (multiple partners)
โœ… Kutokutumia Kinga
๐Ÿ“Œ Dalili (SYMPTOMS )
โœ… Michubuko na miwasho ukeni
โœ… Uchafu wa njano – kijani (yellowย green)
UKE (Vaginal) Huwa una Mazingira yake na bacteria wazuri (vaginal microecological and Flora)
๐—ก๐—œ๐—ก๐—œ TOFAUTI ๐—ž๐—”๐—ง๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—™๐—œ๐—•๐—ฅ๐—ข๐—œ๐——๐—ฆ ๐—ก๐—” ๐—–๐—ฌ๐—ฆ๐—ง๐—ฆ
โœ… UNA vimelea vizuri (native microbiome) ambao ndio mingi wa mwanzo wa ulinzi (defence against pathogens)
โœ… Microbiome huanza kukua wenyewe Baada ya muda mfupi mwanamke akizaliwa na huwepo milele.
โœ… Umri unapokwenda Hawa microbiome hubadilika kutoka anaerobic microbes hadi kuwa bacteria Lactobacillus – rich, hasa wakati wa umri wa kuzama (kuvunja ungo)
โœ… Bacteria Hawa Lactobacillus Huchukua 70% ya aina zote za bacteria wote mwiliniย (strain)

UMUHIMU WA BACTERIA WAZURI UKENI

(IMPORTANCE)
โœ… Hutunza Mazingira ya Acid kwenye uke (acid environment)
โœ… Huzuia Maambukizi (prevent infection)
โœ… Hupunguza uvimbe wa maeneo ya uke
โœ… Hupunguza uvimbe wa maeneo ya uke (prevent inflammation)
โœ… Huimarisha afya ya viungo vya uzazi (reproductive organs)
โœ… pH ya ukeni ni acidic ya 4.5
โœ… pH huongezeka kutoka 4.5 (acidic ) mpaka 7 ( neutral ) kutokana na kiwango cha Usafi cha mwanamkeย husika.

MADHARA YA VAGINISIS

โœ… PID
โœ… STI
โœ… Mimba kutoka (Miscarriage)
โœ… Kuzaa Mtoto asiye na Uzito unaotakiwa
โœ… Kuzaa kabla ya muda ( prematureย birth)

KUZUIA VAGINITIS (PREVENTION)

๐Ÿ•ทUsafi wa mwili na nguo za ndani
๐Ÿ•ทKuacha Matumizi makubwa ya antibiotics na steroids
๐Ÿ•ทKuwa na mpenzi mmoja
๐Ÿ•ทVaa chupi ya pambana
๐Ÿ•ทAcha kijipuliza manukato ukeni au nguo ya ndani
๐Ÿ•ท Usitumie sabuni kali kujioshea
๐Ÿ•ทAcha kufanya douching
๐Ÿ•ทUsiogelea au kuoga kwenye pool lenye maji moto au watu wengi.